
Ni aje wadau wa blog newz kuhusu Dk. Wilbroad Slaa kuamua kuwania upresidaa! mmeipokeaje? kwa mimi naona bora angegombea u-MP tu kwani kwa sasa upinzani kuwin urais ni ndoto istoshe kukosekana kwake bunge lijalo litakuwa kama la enzi za mwl! Ni hayo tu tchaoooo!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment