Tuesday, November 2, 2010

VIDIO YA AMUMADA

KAMA MAYAI UKIISHA UFISADI TUTA MILIKI

MAISHA MAGUMU


Huyu demu kaamua kukaa golini baada ya kuona maisha yana muendea kombo anasubili washikaji

AMSHA KWANZA HALAFU TINGISHA KAMA IMEKWISHA


Jamaa kaamua kuasha kwanza ili hisia za kukamata boli ziwepo alipo kunywa jamaa kaamua kukaa pembeni

Wednesday, September 29, 2010

WEWE WEWEWE!!!!!!!!


HUYU MDADA SIJUI NI UBISHOO AU UTOZI!

NINOMA !!


UNAWEZA KUNIAMBIA HAWA WATU WANAISHI TANZANIA? AU WAPI?

DUUU!!!


HII KALI KULIKO MANAKE KAMA MIMI NIMESHA KOJOA VIBAYA MNO

WANYAMA


HUYU JAMAA KAAMUA KUFUNDISHA MBUZI WAKE KWA MAFUNZO MBALIMBALI ILITU AWE ANAMSINDIKIZA SHOP

HATARI TUPU

HAYA SASA


EBWANEE UTANDAWAZI NI NOMA SANA HII INA ZIHILISHA WAZI KUWA BINADAMU KATOKANA NA MUNYAMA.

KATIKA PAMBA


HILA LABA INA UZWA KWA THAMANI YA FEDHA ZA KITANZANIA SH:- 25,000,000/= KWA MAANA INA KILA KITU HAPO

WANYAMA NAO


BINA DAMU HUWA TUNASEMA WACHINA WANAWANENEPESHA KWA DAWA SASA HUYU TWIGA NAYE NI MUCHINA AU MJAPANI. TUMA MAONI YAKO KWA KUTUMIA IMAIL HII fadhilisefu@hotmail/evafadhili@yahoo.com/juniorfurenk@yahoo.com

VITUKO USWHILINI


JAMAA KAAMUA KUVAA SUTI ALIO ZALIWA NAYO BILA KUJALI KUWA TAI IKO CHINI SANA ANAAMUA KUKATA MITAA JAMAA WAKAJUA HUYU ANAHITAJI KULA BULE KULALA BURE.

MISHEMISHE


KILA MTU YUKO TAABANI HANA LILE WALA HILI KWASABABU YA MADAWA YA KULEVYA.

HINAYO


MUU!! MI SISEMI DUGU ZANGU

KATIKA NDOA


HUYU JAMAA KAAMUA KUWEKA MPAKA MKUBWA SANA BAADA TU YA KUKOLOFISHANA NA MKE WAKE LAKINI KABURA HAWAJALALA SITORI ZINA PIGWA BADAE KILA MTU UPANDE WAKE.

SITAREHEE ZINGINE SIYO


HUYU DADA KAJISAHAU KAMA YUKO KWENYE POZI ZA KUTEMBEA KAJIKUTA KAANZISHA STAREHE NYINGINE TOFAUTI NAYAKUTEMBEA

Tuesday, September 28, 2010

MAPENZI YANA LAHA YAKE


EBWNA WAWILI WALIO SHIBANA

MISHE MISHE USWAHILINI


JAMA KAAMUA KUMPA MAKONDE MKEWE KWA KOSA LA KUMCHELEWESHEA MSOSI

KATIKA SITAREE


KUNA WATU WANA PIGA MITUNGI ILEILE JAMAA HAWA WAMECHAFUA MEZA VILIVYO KIUKWELI NI NOMA

MAZOEZI NI MUHIMU


BIBI HUYU INASADIKIKA KUWA TANGU UBINTI WAKE ALIKUWA NI MWANA MAZOEZI MZURI SANA KWAHIYO KIPAJI CHAKE HAWEZI KUKIACHA

KATIKA VYAMA VYA SIASA


UNAJUA KUWA KUNA SEHEMU NYINGI KATIKA TANZANIA YETU HAWANA HUDUMA MUHIMU

UKIMWI UPO TENA SANA


HUYU DADA ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI KWAMJIBU WA GAZETI MOJA HIVI LINA SEMA KUWA DADA HUYU AMEISHI NA VILUSI HIVYO KWA MIAKA 40 MPAKA SASA

HABALI USWAZI


JAMAA KAAMUA KUSHUSHIA KIPIGO BAADA YA KUMFUMA NA DEMU WAKE,MAPENZI NOMA

Saturday, September 25, 2010

HEBU NIAMBIE


SIKU HIZI KILA KITU NI MCHINA NAHUYU NI.....................?

Sunday, September 12, 2010

RAHA JIPE MWENYEWE.


EBWANA HUYU DOGO KALIZIKA KWA HALI ALIYO NAYO JE? UNAWEZA KUAMINI KUWA KUNASEHEMU ZENYE STAREE AMBAZO HAZINA BUGUZA IWE SIMU HAITUMIKI.

MAAJABU YA MUSSA


UNAWEZA KUNIAMBIA HAWA WATU WANAISHIJE MAANA KWA MUONEKANO WANA AFYA TOA MAONI YAKO.

Friday, July 30, 2010

KAHAMA

ebwana kuna bonge la ajari lilo tokea kahama siklu ya ijumaa saa tano asubuhi ambapo gari aina ya fuso kuvaana uso kwa uso na basi. watu zaidi ya 15 kupoteza maisha na watu zaidi ya 20 nima hututi ajali hiyo imetokea nje kidogo na mji chanzo cha ajli hiyo hakija patikana.




sikuweza kuchukua picha za ajali hiyo

Tuesday, July 27, 2010

SOKA LA BONGO

Kipigo cha timu yetu ya vijana kamoja tu kutoka kwa Ivory Coast mnakichukuliaje?

UCHAGUZI WA BONGO


Ni aje wadau wa blog newz kuhusu Dk. Wilbroad Slaa kuamua kuwania upresidaa! mmeipokeaje? kwa mimi naona bora angegombea u-MP tu kwani kwa sasa upinzani kuwin urais ni ndoto istoshe kukosekana kwake bunge lijalo litakuwa kama la enzi za mwl! Ni hayo tu tchaoooo!!!!!!!!!

Monday, June 28, 2010

EBWANA RAHA JIPE MWENYEWE


JAMAA KAPATA BONGE LA ZAWADI, TOTOZ LIPO KITANDANI LINASUBIRI KICHAPO!
In this photo: John Mnamba (photos), Helena Sylvester, Bonny Tairo, Sweetbert Nyambalya, Saidi Salehe, Hassan Mpuruti, Ash Maya, Mke Wa Dee Saba, Dina Marios (photos), Sabra Mwankenja (photos), MaXon InnoceNt (photos), Vivica Namachanja, Nhuzwa Vuvuzela Maganga, Nkejimana Urbain, Evelyn John, Eliezer Mmbaga (photos), Hassan Dee Seven, Dem Sugar (photos), Aulat Omary, Samwel Golanga (photos), Moddy Junior (photos), Julius Joseph Mbalwa (photos), Marichui' Jj' (photos), Noreen Audax (photos), Nicklas Constantyne, Joyce Kiria (photos), David Singston Matete (photos), Isher Bynk, Victoria Henry, Theresa Simkoko (photos), AquaVanessaeri GrantsApril, Dee Saba (photos), Mo Racka, Osman Babyboi, Husna Nyirenda, Fabrigirl D'wayne Carter (photos), Mahson Nlmc (photos), John Urbano Pius (photos), Jassy Promise

JANA NILI KUWA BICHI


In this photo: Matonya Seif, Didi Vava, Untouchable Wilson Lusingu, Amina Bwimbo, Glory Chuwa, Bakari Kaulete (photos), Elizabeth Kussaga, Cathbert Angelo (photos), Lee Mdachi, Hamisi 'B-dozen' Mandi, Moshy Habibu, Abdul Kitauro (photos), Zamaradi Mketema (photos), Faridu Hamisi Akida, Roma Ebraq, Kamal Abdul, Henry Mdimu (photos), Fibe Geofrey, Julieth Kulangwa, Christine Bisangwa, Byanaku Malick, Aisha Johnson (photos), Dina Marios (photos), Sheri Baker, Kanumba Steve (photos), Ameir Salim, Gfamily Kagutta, Nasr Bobnas Thabit