Friday, July 30, 2010

KAHAMA

ebwana kuna bonge la ajari lilo tokea kahama siklu ya ijumaa saa tano asubuhi ambapo gari aina ya fuso kuvaana uso kwa uso na basi. watu zaidi ya 15 kupoteza maisha na watu zaidi ya 20 nima hututi ajali hiyo imetokea nje kidogo na mji chanzo cha ajli hiyo hakija patikana.




sikuweza kuchukua picha za ajali hiyo

No comments:

Post a Comment