Friday, July 30, 2010

KAHAMA

ebwana kuna bonge la ajari lilo tokea kahama siklu ya ijumaa saa tano asubuhi ambapo gari aina ya fuso kuvaana uso kwa uso na basi. watu zaidi ya 15 kupoteza maisha na watu zaidi ya 20 nima hututi ajali hiyo imetokea nje kidogo na mji chanzo cha ajli hiyo hakija patikana.




sikuweza kuchukua picha za ajali hiyo

Tuesday, July 27, 2010

SOKA LA BONGO

Kipigo cha timu yetu ya vijana kamoja tu kutoka kwa Ivory Coast mnakichukuliaje?

UCHAGUZI WA BONGO


Ni aje wadau wa blog newz kuhusu Dk. Wilbroad Slaa kuamua kuwania upresidaa! mmeipokeaje? kwa mimi naona bora angegombea u-MP tu kwani kwa sasa upinzani kuwin urais ni ndoto istoshe kukosekana kwake bunge lijalo litakuwa kama la enzi za mwl! Ni hayo tu tchaoooo!!!!!!!!!